Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 89

Category: Burudani

Bondia Nyilawila Amtamani Thomas Mashali

Posted on: October 7, 2013October 7, 2013 - jomushi
Post Tags: bondia, bondia tanzania, Nyilawila Amtamani Thomas
Bondia Nyilawila Amtamani Thomas Mashali

  ALIYEKUWA bingwa wa dunia wbfed middle weight bondia Karama Nyilawila amesema ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa Manzese Thomas mashali (ambae ni bingwa wa…

Continue Reading....

Wajitokeza Kuwezesha Tamasha la Utamaduni Handeni

Posted on: October 6, 2013 - jomushi
Wajitokeza Kuwezesha Tamasha la Utamaduni Handeni

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WADAU watano, ikiwamo Kampuni ya usafirishaji ya Phed Trans inayomilikiwa na mdau wa muziki na kada wa Chama Cha…

Continue Reading....

Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Posted on: October 6, 2013 - Rungwe Jr.
Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi Ommy Dimpoz akiwa na kikosi chake. Yule mwanamuziki machachari wa kizazi kipya kutoka Tanzania atakuwepo Los Angeles Leo kutumbuiza Wabongo…

Continue Reading....

Washabiki Wenye Silaha Marufuku Kuingia Uwanjani

Posted on: October 4, 2013 - jomushi
Washabiki Wenye Silaha Marufuku Kuingia Uwanjani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Jeshi la Polisi kuanzia sasa halitashikilia silaha za washabiki, na badala yake litawazuia kabisa kuingia viwanjani wakati…

Continue Reading....

Uamuzi Kamati ya Maadili Kufanyiwa Mapitio

Posted on: October 4, 2013October 4, 2013 - jomushi
Uamuzi Kamati ya Maadili Kufanyiwa Mapitio

SHIRIKISHO liko kwenye hatua za mwisho za mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 26/27 Oktoba 2013 hapa jijini Dar es salaam. Hivi sasa, wagombea…

Continue Reading....

Michezo Inafaida Kubwa kwa Mtoto…!

Posted on: October 3, 2013October 4, 2013 - jomushi
Michezo Inafaida Kubwa kwa Mtoto…!

Na Anna Nkinda – Maelezo WADAU wa michezo, wapenzi wa amani, afya na maendeleo ya vijana nchini wameshauriwa kuwekeza zaidi katika michezo kwani inamuepusha mtoto na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari