Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 87

Category: Burudani

Steve ‘Nyerere’ na Johari Watoa Filamu Mpya ‘Long Time’

Posted on: October 21, 2013 - jomushi
Steve ‘Nyerere’ na Johari Watoa Filamu Mpya ‘Long Time’

Msanii Nguli wa Uigizaji wa filamu Tanzania Steven Megele almaarufu Steve Nyerere akielezea ujio wa nguvu wa filamu yake mpya iitwayo Long Time ambayo imetengenezwa…

Continue Reading....

Vigogo wa Soka Nchini Wakwamisha Pambano la Masumbwi

Posted on: October 18, 2013 - jomushi
Vigogo wa Soka Nchini Wakwamisha Pambano la Masumbwi

MPAMBANO wa masumbwi uliokuwa uwakutanishe kati ya Bondia Kalama Nyilawila na Sado Philemon uliokuwa uchezwe Oktoba 20 jumapili katika uwanja wa CCM Mwijuma Mwananyamala umeahirishwa…

Continue Reading....

Swahili Fashion Week ya Sita Yazinduliwa, Wabunifu 40 Kuonesha Kazi Zao Dar

Posted on: October 17, 2013 - jomushi
Swahili Fashion Week ya Sita Yazinduliwa, Wabunifu 40 Kuonesha Kazi Zao Dar

  Waandaaji wa Swahili Fashion Week wakizungumza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.   Meneja Mawasiliano, wa Swahili Fashion Week, Kauthar Ally (aliyesimama) akizungumza na waandishi…

Continue Reading....

Show ya Wema Sepetu Kuanza Kuonekana EATV

Posted on: October 15, 2013 - admin
Show ya Wema Sepetu Kuanza Kuonekana EATV

Show ya Staa Wema Sepetu (Aliyewahi kuwa miss Tanzania miaka ya nyuma) itaanza kurushwa hewani na television ya EATV kuanzia tarehe 15-10-2013 saa 9:30PM

Continue Reading....

Matembezi ya Hisani, Dawati ni Elimu katika Picha

Posted on: October 15, 2013October 15, 2013 - jomushi
Matembezi ya Hisani, Dawati ni Elimu katika Picha

Continue Reading....

Lulu Kuzichapa na Fatuma Omary Oktoba 26

Posted on: October 15, 2013October 15, 2013 - jomushi
Lulu Kuzichapa na Fatuma Omary Oktoba 26

Mabondia Amir Shekhe kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Amana Dar es salaam jana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari