Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Cheti Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred, kwa kutambua mchango wake…
Continue Reading....Category: Burudani
Tanzania Students Beach Soccer Tournament 2013
TANZANIA students Beach Soccer League ni mcheo wa mpira wa miguu ambao unachezwa kwenye fukwe za bahari ambayo itakusanya timu za vyuo vikuu zote na…
Continue Reading....Mashauzi Classic Kutumbuiza Usiku wa Khanga za Kale Nov 8
Na Andrew Chale ONESHO la Usiku wa Khanga za Kale 2013, maarufu kama ‘5th Extra Vaa Khanga Party’ linatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam usiku…
Continue Reading....Simba na Kagera Waingiza Mil 32, TPL Board Yalaani Vurugu…!
MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Kagera iliyochezwa jana (Oktoba 31 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh.…
Continue Reading....Mshiriki Angel Kutoka Tanzania wa Tusker Project Fame 6, Aomba Kupigiwa Kura
*Kumpigia kura tuma neno ‘Tusker 14’ kwenda namba 15324 MSHIRIKI kutoka Tanzania Angel Karashani (Angel) anawaomba watanzania kumpigia kura kwa wingi ili aendelee kubaki katika…
Continue Reading....Prof. Elisante Ole Gabriel Awaasa Wasanii Kutumia Fursa za Mikopo
Na Magreth Kinabo – MAELEZO NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel amewataka wasanii nchini kutumia Mfuko wa…
Continue Reading....