Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 71

Category: Burudani

Miss Ilala Doris Mollel Akabidhi Vitabu 50 Shule ya Msingi Pugu Dar

Posted on: April 15, 2014 - jomushi
Miss Ilala Doris Mollel Akabidhi Vitabu 50 Shule ya Msingi Pugu Dar

Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa…

Continue Reading....

Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Dodoma Lamalizika

Posted on: April 13, 2014 - jomushi
Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Dodoma Lamalizika

Mmoja wa washiriki wa Shindano la kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania, lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara…

Continue Reading....

Muhidini Maalim Gurumo Afariki Dunia, Ni Muasisi wa Mitindo ya Msondo, Sikinde na Ndekule

Posted on: April 13, 2014April 17, 2014 - jomushi
Muhidini Maalim Gurumo Afariki Dunia, Ni Muasisi wa Mitindo ya Msondo, Sikinde na Ndekule

HABARI za kifo cha gwiji wa muziki nchini, Muhidini Maalim Mohammed Gurumo, zimeutikisa ulimwengu wa muziki. Tunaambiwa amefariki leo Jumapili Aprili 13 saa 9.00 alasiri…

Continue Reading....

Proin Promotions Limited Wawasili Dodoma Kumsaka Staa wa Kuigiza

Posted on: April 12, 2014 - jomushi
Proin Promotions Limited Wawasili Dodoma Kumsaka Staa wa Kuigiza

Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na…

Continue Reading....

Tanzania Movie Talents Yahamia Mkoani Dodoma…!

Posted on: April 10, 2014 - jomushi
Tanzania Movie Talents Yahamia Mkoani Dodoma…!

Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania…

Continue Reading....

Tatu Bora ya Waigizaji Wapatikana Mwanza

Posted on: April 9, 2014 - jomushi
Post Tags: featured

Janneth Emmanuel (kushoto),  Cresenciah Herman (katikati) na Joshua Wambura Stanslaus ambao ndio washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari