Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 63

Category: Burudani

Uzinduzi Filamu ya I love Mwanza

Posted on: June 25, 2014June 25, 2014 - jomushi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akizindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment…

Continue Reading....

Innocent Nyanyagwa Afunika Tamasha la ZIFF 2014

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Tamasha la ZIFF 2014
Innocent Nyanyagwa Afunika Tamasha la ZIFF 2014

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu…

Continue Reading....

Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Shindano la TMT
Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi…

Continue Reading....

Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Post Tags: ZIFF 2014
Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club…

Continue Reading....

Bondia ‘Dula Mbabe’ Kuzipiga Vunja Jungu

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Abdallah Paziwapazi
Bondia ‘Dula Mbabe’ Kuzipiga Vunja Jungu

BONDIA machachari wa ngumi za kulipwa nchini Abdallah Paziwapazi a.k.a ‘Kiroba’ au kama anavyojulikana na wengi ‘Dula Mbabe’ anatarajiwa kupanda ulingoni Juni 29, 2014 katika Ukumbi…

Continue Reading....

Shamra Shamra za Mashindano ya Ngalawa Katika ZIFF 2014

Posted on: June 19, 2014 - jomushi
Shamra Shamra za Mashindano ya Ngalawa Katika ZIFF 2014

  Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NGALAWA zote 11 zilizoingia majini kukamilisha mzunguko wa saa mbili wa resi za ngalawa mjini Zanzibar zilimarisha mashamshamu hayo bila…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari