Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 44

Category: Burudani

Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Makaburini, Mlevi apigana, Msanii G Mabovu
Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

MATUKIO ya vituko yameonekana kutawala msiba wa msanii G Mabovu Iringa pale mlevi mmoja alipoamua kutembeza kichapo kwa wafiwa huku akishinikiza aruhusiwe kuufukua mwili wa…

Continue Reading....

Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Posted on: November 13, 2014 - jomushi
Post Tags: Bodi ya Filamu, Mbwa Mwitu, sheria, tanzania
Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji…

Continue Reading....

Sheria Ngowi Afunika Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014

Posted on: November 4, 2014 - jomushi
Post Tags: Africa, Fashion, Mercedes Benz, Sheria Ngowi
Sheria Ngowi Afunika Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014

Na Mwandishi wetu MBUNIFU wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la…

Continue Reading....

Jubilei Miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma

Posted on: November 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Bendi, Jubilei, Msondo Ngoma
Jubilei Miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika…

Continue Reading....

Bondia Fadhili Majiha Apigwa Thailand, Alalamikia Waamuzi…!

Posted on: October 29, 2014 - jomushi
Post Tags: Bondia wa Tanzania, Thailand
Bondia Fadhili Majiha Apigwa Thailand, Alalamikia Waamuzi…!

Na Mwandishi Wetu BONDIA wa uzito wa ‘Bantamweight’, Fadhili Majiha ‘Stoper’ mwishoni mwa wiki alikuwa na kibarua kizito kutoka kwa bondia wa Thailand, Pungluang Sor…

Continue Reading....

Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV

Posted on: October 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Msanii, Offener TV, Ujerumani
Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV

MWANAMUZIKI Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja kiongozi mwanzilishi wa bendi maarufu Ngoma Africa almaharufu FFU-Ughaibuni ya Ujerumani, juzi alifanya mahojiano na kituo cha TV…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari