Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 43

Category: Burudani

Video Mpya ya Diamond Platnamz Ntampata Wapi

Posted on: November 21, 2014November 21, 2014 - admin
Post Tags: Diamond Platnamz
Video Mpya ya Diamond Platnamz  Ntampata Wapi

Diamond Platnamz amekuaja na video mpya ya wimbo wa Ntampata Wapi, safari hii msanii huyu mahiri wa kizazi kipya amekuwa mbunifu zaidi. Angalia video na…

Continue Reading....

Tarsis Masela wa Akudo Kuzinduwa Albamu ‘Acha Hizo’

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Akudo, Albamu, Tarsis Masela
Tarsis Masela wa Akudo Kuzinduwa Albamu ‘Acha Hizo’

UZINDUZI wa albamu ya Mwanamuziki nyota Tarsis Masela iitwayo ‘Acha Hizo’ unatarajiwa kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa Ten Lounge, zamani ukijulikana kama Business Park, uliopo…

Continue Reading....

Happiness Watimanywa Akifanya Mahojiano na BBC

Posted on: November 19, 2014November 19, 2014 - admin
Happiness Watimanywa Akifanya Mahojiano na BBC

Angalia video ya Mwakilishi wa Tanzania katika Miss World 2014 Happiness Watimanywa Bonus Video: TANZANIA, Happiness Watimanya – Contestant Introduction: Miss World 2014

Continue Reading....

Bondia Zumba Kukwe Kuzichapa na Sweet Kalulu

Posted on: November 18, 2014 - jomushi
Post Tags: bondia, Sweet Kalulu, Zumba Kukwe
Bondia Zumba Kukwe Kuzichapa na Sweet Kalulu

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini na machachali ulingoni, Zumba Kukwe “Chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni Alhamisi Novemba 27, 2014 kuzipiga na bondia mkongwe, Sweet…

Continue Reading....

Yamoto, Skylight Band Zafanya Kweli Jijini Mwanza

Posted on: November 18, 2014November 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Jijini Mwanza, Skylight Band, Yamoto
Yamoto, Skylight Band Zafanya Kweli Jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa  na wanawe kwa wakazi wa…

Continue Reading....

Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Happiness Watimanywa, Uingereza, Urembo
Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM   MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari