MPAMBANO kati ya mabondia Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ umemalizika jana jijini Dar es Salaam huku mabondia hao wakitoshana nguvu.…
Continue Reading....Category: Burudani
Leo ni leo, nani mbabe kati ya Maneno Osward na Rashid Matumla
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios ‘Mwayamwaya'(katikati), akiwashuudia mabondia, Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ kushoto na Rashidi Matumla ‘Snake Man’, wakitunishiana misuli…
Continue Reading....Dk Nchimbi atoa siku 75 kusakwa vazi la taifa
Na Beatrice Mlyansi na Benjamin Sawe WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi ameitaka kamati mpya ya kubuni vazi la taifa kukamilisha…
Continue Reading....Mabondia Matumla na Oswald wapima vipimo
Na Mwandishi Wetu MABONDIA Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Oswald ‘Mtambo wa Gongo’ wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 25 mwaka huu katika pambano lisilo la…
Continue Reading....Kambi ya Ngumi Ilala kumuandaa bondia Ubwa Salum
KAMBI ya Mchezo wa Ngumi ya Mkoa wa Kimichezo wa Ilala, Dar es Salaam, inamuandaa bondia Ubwa Salum kwa ajili ya pambano lake dhidi ya…
Continue Reading....