Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan na Kangana Ranaut wameshinda mataji makuu katika tuzo za kitaifa za filamu nchini India. Bachchan alishinda tuzo ya…
Continue Reading....Category: Burudani
Huyu Dogo Anatisha Video Zake Zatazamwa Mara Bilioni 10
Mwanamuziki Justin Bieber amevunja rekodi ya Vevo kwa video yake kutazamwa mara bilioni 10. Msanii huyo wa Canada ambaye alitoa kibao kipya Purpose in Novemba…
Continue Reading....Mwanamuzi wa Nyimbo za Injili Malawi Afariki Dunia
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini Malawi Grace Chinga amefariki. Rafiki wa karibu wa familia yake, Pasta Chris Suya, amenukuliwa na gazeti la gazeti…
Continue Reading....Brazil Wapuuza Uvumi wa Maandamano Michuano ya Olimpiki
Maafisa nchini Brazil wamepuuza vitisho vya kuzuka maandamano makubwa wakati wa michezo ya Olimpiki, licha ya mgogoro wa uchmi na kisiasa na sakata linalochipuka la…
Continue Reading....Proin Promotions Ltd Yajivunia Washindi Wawili Tunzo za Africa Magic 2016
Single Mtambalike akiongea na waandishi wa habari baada ya kuwasili katika uwanja wa Mwl Nyerere  Baadhi ya wadau na wapenzi wa filamu wakiwa uwanja wa…
Continue Reading....Pacquiao Apata Pingamizi la Kisiasa Juu ya Pambano lake Kurushwa Kwenye Runinga
Mkali na Bingwa wa ndondi Mfilipino ambaye ni mwanasiasa Manny Pacquiao amelitetea pigano lake lijalo na mwanamasumbwi Mmarekani Timothy Bradley dhidi ya madai kuwa litakiuka…
Continue Reading....