Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 15

Category: Burudani

Mwanamuziki Prince Afariki Dunia Akiwa na Miaka 57

Posted on: April 22, 2016 - Yohana Chance
Mwanamuziki Prince Afariki Dunia Akiwa na Miaka 57

Mwanamuziki kutoka Marekani maarufu kwa muziki wa chapa Funk, Prince ameaga dunia. Mwanamuziki huyo raia wa Marekani alipatikana ameaga dunia katika makazi yake ya huko…

Continue Reading....

Filamu Kuuzwa Mwaka 2023 Matangazo Yaanza Mwaka Huu

Posted on: April 16, 2016 - Yohana Chance
Filamu Kuuzwa Mwaka 2023 Matangazo Yaanza Mwaka Huu

Watengenezaji wa filamu ya Avatar franchise wamesema kutatolewa filamu zaidi katika mwendelezo huo wa filamu, filamu ijayo ikitarajiwa kutolewa 2018. Muongozaji wa filamu hizo James…

Continue Reading....

Tanzia Yatanda Tasnia ya Muziki, Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Tanzia Yatanda Tasnia ya Muziki, Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Mwananamuziki maarufu wa dansi nchini, Ndanda Kosovo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa zinazotufikia, zinaeleza Ndanda amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa…

Continue Reading....

Manamuziki Afariki Akiwa Jukwaani Akipiga Shoo

Posted on: April 8, 2016 - Yohana Chance
Manamuziki Afariki Akiwa Jukwaani Akipiga Shoo

Huzuni na mshangao umeghubika Indonesia baada ya muimbaji maarufu Irma Bule, aliyekuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kuanguka na kufariki dunia jukwaani Yamkini bi Bule aliumwa na…

Continue Reading....

Timu ya NMB Yamkabidhi Kikombe cha Ushindi Mkurugenzi Mtendaji

Posted on: April 4, 2016April 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Timu ya NMB Yamkabidhi Kikombe cha Ushindi Mkurugenzi Mtendaji

NAHODHA wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Benki ya NMB, Richard Mwalwiba amekabidhi rasmi vikombe vya ushindi wa Mashindano ya Ligi ya Mabenki ‘Brazuka…

Continue Reading....

Jokate na Mo Dewji Kujenga Uwanja Sekondari ya Jangwani

Posted on: April 2, 2016 - jomushi
Post Tags: Jokate, Sekondari ya Jangwani
Jokate na Mo Dewji Kujenga Uwanja Sekondari ya Jangwani

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wanataraji kunufaika kwa kupata uwanja wa michezo ambao unajegwa kwa ushirikiano wa Mwanamitindo Jokate Mwegelo na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari