BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ imetoa ratiba yao katika wiki baada ya kutoa burudani Dar es Salaam wiki…
Continue Reading....Category: Burudani
Shamra shamra za Eid El Hajj na Skylight Band
Pichani Juu na Chini ni kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota…
Continue Reading....Boniface Wambura Apanda Ngazi ECAPBA
BONIFACE Wambura ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Viwango ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamatiu ya…
Continue Reading....Pambano la Matumla na Omot wa Kenya Laiva
BONDIA Rashid Matumla na Patrik Omot wa Kenya wanategemea kupanda ulingoni kesho katika Ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara. Mabondia wote wamepima uzito na taarifa ni…
Continue Reading....Bondia ‘King Class Mawe’ Aeleza Siri ya Mafanikio
NI dhahiri kuwa vipaji vikiibuliwa tangu utotoni na kuendelezwa vyema vijana wanakuja kuwa wazuri ukubwani na kulitangaza vyema taifa nchi za nje. Hali hiyo inadhihirika…
Continue Reading....Bondia Gottlieb Ndokosho wa Namibia Kutafutiwa Mbabe Wake
BONDIA kutoka nchini Namibia, Gottlieb Ndokosho ambaye alimsambaratisha Mtanzania, Rajabu Maoja katika raundi ya kwanza ya mpambano wao wa kugombea mkanda wa IBF Afrika uzito…
Continue Reading....