Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 144

Category: Burudani

Mashindano ya Gofu Johnnie Walker Waitara Yafanyika Lugalo Dar es Salaam

Posted on: November 10, 2012November 10, 2012 - jomushi
Mashindano ya Gofu Johnnie Walker Waitara Yafanyika Lugalo Dar es Salaam

 Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu…

Continue Reading....

TPBO Yajitoa Mpambano wa Ngumi Kati ya Selemani Saidi na Caled Ameinda, PST Waingilia Wasema Mpambano Utafanyika

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
TPBO Yajitoa Mpambano wa Ngumi Kati ya Selemani Saidi na Caled Ameinda, PST Waingilia Wasema Mpambano Utafanyika

Na Mwandishi Wetu OGANAIZESHENI ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) imetangaza kujitoa katika mpambano wa ngumi kati ya mabondia Selemani Saidi na Caled Ameinda baada…

Continue Reading....

Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo

Posted on: November 10, 2012November 10, 2012 - jomushi
Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo

MSHINDI wa Shindano la kumtafuta msanii mwenye kipaji cha muziki maarufu kama Epiq Bongo Star Search (EBSS) hatimaye amejulikana usiku huu ndani ya Ukumbi wa…

Continue Reading....

Timu ya Taifa ya Ngumi Tanzania Kupambana na Timu ya Zambia

Posted on: November 8, 2012 - jomushi
Timu ya Taifa ya Ngumi Tanzania Kupambana na Timu ya Zambia

Je, wajua kuhusu hili..! Basi karibia ujionee. WAPENZI WA MCHEZO WA MASUMBWI MNATAHARIFIWA KUWA KUTAKUWA NA MCHEZO WA NGUMI WA KIMATAIFA KATI YA ZAMBIA NA…

Continue Reading....

Msondo Ngoma Kuzinduwa Vyombo Vipya ya Muziki

Posted on: November 6, 2012 - jomushi
Msondo Ngoma Kuzinduwa Vyombo Vipya ya Muziki

BENDI Kongwe ya muziki wa dansi nchini Tanzania Msondo Music inatarajia kuzindua vyombo vyake vipya walivyokabidhiwa hivi karibuni na Kampuni ya KONYAGI. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

Skylight Band Walivyopagawisha Ndani ya Thai Village Dar

Posted on: November 5, 2012 - jomushi
Skylight Band Walivyopagawisha Ndani ya Thai Village Dar

Mabinti watanashati wenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK 47 (kushoto) na Mary Lukas wakitumbuiza mashabiki (hawapo pichani) katika kiota cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari