Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 14

Category: Burudani

Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016

Posted on: May 31, 2016 - jomushi
Post Tags: Mpira wa Miguu
Magaidi Yahofiwa Kushambulia Michuano ya Euro 2016

TAIFA la Marekani linahofia kwamba huenda michuano ya soka ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa mwezi ujao ikashambuliwa na magaidi. Idara ya masuala ya kigeni…

Continue Reading....

Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais

Posted on: May 31, 2016 - jomushi
Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais

MAHAKAMA moja mjini Istanbul imemhukumu kwenda jela mshindi wa zamani wa tuzo ya urembo nchini Uturuki kwa kosa la kumtusi rais wa nchi hiyo, Recep…

Continue Reading....

Waziri Nape Awakaribisha Bloggers Bungeni Dodoma

Posted on: May 14, 2016May 14, 2016 - Yohana Chance
Waziri Nape Awakaribisha Bloggers Bungeni Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha  ya pamoja na wamiliki wa Blogs Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha…

Continue Reading....

Rihanna Kusaidia Ada Watoto Wasiojiweza

Posted on: May 13, 2016May 13, 2016 - Yohana Chance
Rihanna Kusaidia Ada Watoto Wasiojiweza

Mwanamuziki Nyota Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake, Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya…

Continue Reading....

Serikali Yamfungia Snura na Chura wake

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Serikali Yamfungia Snura na Chura wake

Serikali kupitia Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imesitisha kuchezwa kwa wimbo na video ya Chura ya msanii Snura Mushi kwenye vyombo vyote vya…

Continue Reading....

Nguli wa Muziki Papa Wemba Afariki Dunia

Posted on: April 24, 2016 - Yohana Chance
Nguli wa Muziki Papa Wemba Afariki Dunia

Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari