Na Bashir Nkoromo BAADA ya kuwa ‘juu ya mawe’ kwa muda mrefu, bendi ya muziki wa dansi ya Vijana Jazz, ‘Wana Air pambamoto’ imeibuka upya…
Continue Reading....Category: Burudani
Kofii Olomide Katika Mazungumzo na Wanahabari Serena Hoteli
Mwanamuziki kutoka nchini DRC-Congo, Koffi Olomide akitia saini moja ya bango lenye kampeni inayowatahadharisha madereva wa magari kunywa pombe kupindukia, ikiwa ni hatari kwa afya…
Continue Reading....Koffi Olomide Awasili Usiku Dar es Salaam Tayari kwa Burudani Jumamosi Hii
Mwanamuziki nyota wa dansi kutoka nchini DRC- Kongo, Koffi Olomide akiwasalimia baadhi ya mashabiki wake waliofika kumlaki usiku huu mara baada ya kuwasili akiwa sambamba…
Continue Reading....Skylight Entertainment Yalaani Vitendo vya Vurugu Maeneo ya Burudani
UONGOZI wa Skylight Entertainment na Skylight Band, unatoa tamko la kulaani kitendo cha watu wachache waovu wenye tabia ya kuvuruga amani kwenye sehemu za burudani.…
Continue Reading....Red Carpet ya Swahili Fashion
Meya wa Manispaa ya Ilala Mh Jerry Silaa akiwa katika Red Carpet ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Jana ndani ya Hotel Ya Golden Tulip. Mmiliki…
Continue Reading....