Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya Klabu Bingwa ya Mkoa wa Temeke yameanza jana jijini, Dar es Salaam huku yakishirikisha timu 20 na yanatarajiwa kufikia tamati …
Continue Reading....Category: Burudani
Onesmo Ngowi Kuongoza Ujumbe Mzito Mkutano wa Shirikisho la Ngumi Kimataifa, Ujerumani
MTANZANIA, Onesmo Ngowi ambaye ni Rais wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, ataongoza ujumbe mzito…
Continue Reading....Bi. Kidude Afariki Dunia, Wajua Historia Yake?
Na Mwandishi Wetu, TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba msanii maarufu na nguli nchini Tanzania Bara na Visiwani, Fatuma binti Baraka au maarufu kwa…
Continue Reading....SHIWATA Yaandaa Maonesho Kukuza Vipaji Vya Wasanii
SHIWATA imeandaa maonesho maalum kila mwezi ili kutoa nafasi kwa wasanii wa fani mbalimbali pamoja na wanamichezo kuonesha vipaji vyao. Wasanii wengi chipukizi wanakosa mahali…
Continue Reading....Mabondia Ghana Kuwasha ‘Moto’ Mei 3
NCHI ya Ghana ambayo ni moja ya nchi zenye vipaji vingi vya wanamichezo mahiri na majina makubwa hususan mchezo wa ngumi, itawaka moto Mei 3,…
Continue Reading....Timu Nne Mpya Kuingia Hatua ya Mwisho Mashindano ya Guinness Football Challenge
JUMATANO iliyopita katika sehemu ya nne kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ yalikuwa na ushindani mkubwa lakini washiriki kutoka…
Continue Reading....