Category: Burudani
Mshindi wa Droo ya Tatu ya Winda na Ushinde Atangazwa
Mfanyabiashara ndogondogo Morogoro ashinda shs 1,000,000 KAMPUNI ya bia ya Serengeti imetangaza mshindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya Winda na Ushinde ambae amejinyakulia…
Continue Reading....Jhikoma, Afrikabisa Band Walikuwa Kivutio ZIFF
ILIKUWA Julai 7, 2013 (SABASABA) Mwanamuziki Jhikoman alipewa heshima ya pekee kufungua Tamasha la Kimataifa ZIFF la Zanzibar. Mwanamuziki Jhikoman na Afrikabisa band yenye maskani…
Continue Reading....Super D Kufanya Ziara Kuhamasisha Ngumi Tanga
ZIARA hiyo yenye lengo la kuhamasisha mchezo wa ngumi kwa vijana na kuwapa mbinu mpya baadhi ya makocha wa mikoa husika ili mchezo wa ngumi…
Continue Reading....Japhert Kaseba Sasa Aamia Kwenye Filamu, Atoka na Bongo Mafia
BINGWA wa mchezo wa Kick Boxing nchini, Japhert Kaseba ameingia katika fani ya filamu za mapigano ‘live’ akianzia na picha yake ya kwanza itakayo mtambulisha…
Continue Reading....