Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za biashara
  • Page 8

Category: Habari za biashara

Wizara Yawaita Wadau Kushiriki Tamasha la Sanaa na Utamaduni Afrika Mashariki

Posted on: May 29, 2017 - jomushi
Wizara Yawaita Wadau Kushiriki Tamasha la Sanaa na Utamaduni Afrika Mashariki

  WIZARA ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ambayo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na Utamaduni inawajulisha wadau wake kushiriki katika Tamasha la Sanaa…

Continue Reading....

NMB yatoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi Shule ya Msingi Wailes

Posted on: May 28, 2017 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
NMB yatoa elimu ya kifedha kwa wanafunzi Shule ya Msingi Wailes

        BENKI ya NMB imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na baadhi…

Continue Reading....

Maadhimisho Siku ya Afrika Yaja na Bidhaa za Asili…!

Posted on: May 26, 2017 - jomushi
Maadhimisho Siku ya Afrika Yaja na Bidhaa za Asili…!

MEI 25 kila mwaka Mataifa mbalimbali Barani Afrika huadhimisha Siku ya Afrika kama sehemu ya mataifa hayo kukumbuka ukombozi wake barani Afrika. Jijini Mwanza, watengenezaji na wauzaji…

Continue Reading....

SBL Yatoa Zawadi ya Gari ya Milioni 50 kwa Msambazaji Bora

Posted on: May 24, 2017 - jomushi
SBL Yatoa Zawadi ya Gari ya Milioni 50 kwa Msambazaji Bora

  Mkurugenzi wa Mauzo wa SBL, Alain Tayo Akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu zawadi ya msambazaji bora ambapo MM Group kutoka Mpanda…

Continue Reading....

NMB Yaja na ‘FANIKIWA ACCOUNT’ ni Maalum kwa Wafanyabiashara Wadogo

Posted on: May 24, 2017 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
NMB Yaja na ‘FANIKIWA ACCOUNT’ ni Maalum kwa Wafanyabiashara Wadogo

    BENKI ya NMB imezindua akaunti mpya kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati ijulikanayo kama ‘NMB FANIKIWA ACCOUNT’ ili waweze kukua kibiashara pamoja na…

Continue Reading....

Dk Mwakyembe Azinduwa ‘Serengeti Premium Lite’ Bia

Posted on: May 20, 2017 - jomushi
Dk Mwakyembe Azinduwa ‘Serengeti Premium Lite’ Bia

        WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwakilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari