Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za biashara
  • Page 32

Category: Habari za biashara

Benki ya Posta Yapata Faida ya Shilingi Bilioni 8.84 kwa Nusu Mwaka 2016

Posted on: July 27, 2016 - jomushi
Benki ya Posta Yapata Faida ya Shilingi Bilioni 8.84 kwa Nusu Mwaka 2016

NUSU ya kwanza ya Mwaka 2016 iliyoisha mwezi Juni, imekuwa yenye mafanikio makubwa sana kwa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Pamoja na changamoto mbalimbali ambazo…

Continue Reading....

Benki ya Exim China Yaahidi Kushirikiana na Tanzania

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Wachina
Benki ya Exim China Yaahidi Kushirikiana na Tanzania

  RAIS wa Benki ya Exim ya Nchini China Bw. Liu Liang amesema Benki hiyo itaendelea kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Continue Reading....

Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Dk Mengi Ampelekea Ujumbe Mzito Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

ILI kufikia malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025, Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dk. Reginald Mengi amemtumia Waziri Mkuu wa Tanzania,…

Continue Reading....

NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE

Posted on: July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE

            BENKI ya NMB leo imeorodhesha kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 ilichokipata kutokana na mauzo ya hati fungani katika Soko…

Continue Reading....

Kampuni ya Tigo Yazinduwa Duka Jipya Mjini Kibaigwa

Posted on: July 18, 2016 - jomushi
Post Tags: Tigo Tanzania
Kampuni ya Tigo Yazinduwa Duka Jipya Mjini Kibaigwa

    Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini,Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka hilo jipya kwa Mkuu wa Wilaya mpya ya Kongwa, mjini…

Continue Reading....

Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

WANANCHI sasa wanaweza kulipa malipo ya kodi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kutumia Benki ya NMB. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari