Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za biashara
  • Page 20

Category: Habari za biashara

Mkuu wa Mkoa Simiyu Awaalika Wawekezaji, Ni Katika Jukwaa la Biashara

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Mkuu wa Mkoa Simiyu Awaalika Wawekezaji, Ni Katika Jukwaa la Biashara

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel (kushoto), na…

Continue Reading....

Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu

Na Biseko Ibrahim WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watumishi wa Wizara hiyo Sekta ya Uchukuzi kutumia vizuri fursa ya kuhamia…

Continue Reading....

Namaingo Watakiwa Kuchangamkia Uzalishaji wa Malighafi za Viwanda

Posted on: February 6, 2017 - jomushi
Post Tags: Wajasiliamali
Namaingo Watakiwa Kuchangamkia Uzalishaji wa Malighafi za Viwanda

Na Richard Mwaikenda SERIKALI imeutaka Ushirika wa Vibidar Namaingo kuanza kuzalisha mazao mengi kwa ajili ya malighafi ya viwanda vilivyopo na vinavyotarajiwa kuanzishwa nchini. Ushauri…

Continue Reading....

Why Should Definitely Shop for Your Valentine on Jumia This Year…!!

Posted on: February 6, 2017 - jomushi
Post Tags: Valentine’s Day
Why Should Definitely Shop for Your Valentine on Jumia This Year…!!

  THIS IS WHY YOU SHOULD DEFINITELY SHOP FOR YOUR VALENTINE ON JUMIA THIS YEAR!  LOVE IS IN THE AIR! Yes, it’s that time of…

Continue Reading....

Mradi wa Africa Rising Kuzuia Upotevu wa Mazao

Posted on: February 4, 2017 - Yohana Chance
Mradi wa Africa Rising Kuzuia Upotevu wa Mazao

Na; Ferdinand Shayo, Morogoro. Asilimia 20 mpaka 40 ya mazao yanayovunwa na wakulima hasa mahindi hupotea kuanzia kipindi cha uvunaji mpaka kuhifadhi. kutokana na sababu…

Continue Reading....

Rais Magufuli Kuzinduwa Rasmi Mabasi ya Mwendo Kasi Dar

Posted on: January 24, 2017 - jomushi
Post Tags: usafiri
Rais Magufuli Kuzinduwa Rasmi Mabasi ya Mwendo Kasi Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Joseph Magufuli, kesho tarehe 25 /01/2017 anatarajiwa kuzindua Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari