Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za biashara
  • Page 15

Category: Habari za biashara

Wafanyakazi Halotel Kufanya Usafi wa Mazingira Nchi Nzima

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Wafanyakazi Halotel Kufanya Usafi wa Mazingira Nchi Nzima

  KUELEKEA kuwepo kwa kampeni mbalimbali zinazolenga kuboresha usafi wa mazingira na miundombinu kumeendelea kuwaamsha wadau na taasisi mbalimbali kuendelea kuunga mkono jitihada hizo, ambapo…

Continue Reading....

Covenant Bank yawahamasisha wanawake kununua hisa za Vodacom

Posted on: March 26, 2017 - jomushi
Covenant Bank yawahamasisha wanawake kununua hisa za Vodacom

  KUTANGAZWA kuuzwa kwa hisa za kampuni ya Mawasiliano ya Vodcom kumeendelea kutoa hamasa kwa watu binafsi na makundi mbalimbali kuendelea kununua hisa za kampuni…

Continue Reading....

TTCL KUZALISHA DOLA MIL 50

Posted on: March 26, 2017 - jomushi
TTCL KUZALISHA DOLA MIL 50

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameipa miezi miwili Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kuhakikisha kuwa inapata Dola za Kimarekani…

Continue Reading....

Mo Ashinda Tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Bora Afrika 2017

Posted on: March 22, 2017 - jomushi
Mo Ashinda Tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Bora Afrika 2017

  RAIS na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora wa mwaka 2017…

Continue Reading....

Kamati ya Bunge ya Miundombinu yaitaka Serikali kuwa mfano kutumia huduma za TTCL

Posted on: March 22, 2017 - jomushi
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yaitaka Serikali kuwa mfano kutumia huduma za TTCL

    Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Taasisi za Serikali na Mashirika yote ya Umma kutumia kituo cha kutunzia…

Continue Reading....

NMB Mobile TISS Kumaliza Tatizo la Foleni kwa Wateja

Posted on: March 20, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Mobile TISS Kumaliza Tatizo la Foleni kwa Wateja

  NMB imezindua rasmi huduma ya kuhamisha ama kutuma fedha (NMB Mobile TISS), kutoka katika akaunti za benki hiyo, kwenda kwenye akaunti za benki nyingine,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari