Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 98

Category: Habari za Nyumbani

Wajasilia Watakiwa Kujikita Katika Ufugaji wa Kuku

Posted on: September 7, 2016 - Yohana Chance
Wajasilia Watakiwa Kujikita Katika Ufugaji wa Kuku

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Wajasiriamali nchini wametakiwa kujikita katika Ufugaji wa kuku wa Kienyeji na kisasa ili waweze kunufaika kiuchumi kufuatia ongezeko la uhitaji mkubwa wa…

Continue Reading....

MUWSA Yasaidia Madawati Shule ya Msingi Mandela, Moshi

Posted on: September 7, 2016 - jomushi
MUWSA Yasaidia Madawati Shule ya Msingi Mandela, Moshi

  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Saidiq akiwasili katika shule ya msingi Mandela iliyopo kata ya Bomabuzi wilaya ya Moshi kwa ajili ya…

Continue Reading....

Kivuko cha Mv. Magogoni Charudi Kazini Dar

Posted on: September 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Kivuko
Kivuko cha Mv. Magogoni Charudi Kazini Dar

Kivuko cha Mv. Magogoni KIVUKO cha MV. Magogoni kimepokelewa na kuanza kazi rasmi ya kutoa huduma za usafirishaji kati ya eneo la Kigamboni na Magogoni…

Continue Reading....

Waziri Muhongo Kuwapa Ruzuku Wachimbaji Madini Wadogo

Posted on: September 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Wachimbaji
Waziri Muhongo Kuwapa Ruzuku Wachimbaji Madini Wadogo

  Na Daudi Manongi, MAELEZO-Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa…

Continue Reading....

Eng. Sangeu: Toeni Elimu ya Mazingira kwa Wananchi

Posted on: September 5, 2016 - jomushi
Eng. Sangeu: Toeni Elimu ya Mazingira kwa Wananchi

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usalama na Mazingira (Mazingira), wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Melania Sangeu amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Barabara Nchini…

Continue Reading....

Wizara ya Elimu Yawaasa Vijana Kutumia Elimu Kujiajiri

Posted on: September 5, 2016September 5, 2016 - jomushi
Wizara ya Elimu Yawaasa Vijana Kutumia Elimu Kujiajiri

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imewaasa vijana waliomaliza shule kuacha kubweteka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari