Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 97

Category: Habari za Nyumbani

Rais Magufuli Alilia Suluhu Nchi ya Sudan Kusini…!

Posted on: September 8, 2016 - jomushi
Rais Magufuli Alilia Suluhu Nchi ya Sudan Kusini…!

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam RAIS John Pombe Magufuli amewataka Viongozi na wananchi wa Sudan Kusini kutanguliza mbele maslahi ya nchi yao ili kusaidia…

Continue Reading....

Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti Wapungua kwa Asilimia 4.9

Posted on: September 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Takwimu
Mfumuko wa Bei Mwezi Agosti Wapungua kwa Asilimia 4.9

  Mkutano na wanahabari ukiendelea.   Na Dotto Mwaibale   OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipindi cha…

Continue Reading....

IGP Mangu Kuongoza Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika

Posted on: September 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Jeshi la Polisi
IGP Mangu Kuongoza Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika

INSPEKTA Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu anatarajia kukabidhiwa uenyekiti wa Shirikisho la wakuu wa Majeshi ya Polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) katika mkutano unaotarajiwa…

Continue Reading....

Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Wakutana na BASATA

Posted on: September 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Makumbusho Tanzania
Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Wakutana na BASATA

Na Sixmund Begashe, Wa Makumbusho ya Taifa MAKUMBUSHO na Nyumba ya Utamaduni imekutana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na kufanya mazungumzo ya namna vyombo…

Continue Reading....

TACAIDS Yateta na Wadau wa Mapambano ya Ukimwi

Posted on: September 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Mapambano ya Ukimwi
TACAIDS Yateta na Wadau wa Mapambano ya Ukimwi

  Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imewataka baadhi ya wadau, mashirika na taasisi zilizo katika…

Continue Reading....

Wizara ya Afya, UNDP Kuanzisha Mradi wa Kupunguza Taka

Posted on: September 7, 2016 - jomushi
Post Tags: Afya Tanzania
Wizara ya Afya, UNDP Kuanzisha Mradi wa Kupunguza Taka

  Na Ally Daud, Maelezo – Dar es Salaam HOSPITALI za Muhimbili, Amana, Mwananyamala na Kairuki za Jijini Dar es Salaam zinatarajia kuwekwa kwenye mradi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari