Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 937

Category: Habari za Nyumbani

Viongozi na Diwani CHADEMA Tarime waswekwa maabusu

Posted on: June 8, 2012June 8, 2012 - jomushi
Viongozi na  Diwani CHADEMA Tarime waswekwa maabusu

Na mwandishi wetu Tarime, Viongozi wa ngazi ya juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Tarime pamoja na Diwani anayetokana na Chama hicho…

Continue Reading....

Kituo cha Afya Songwa, Shinyanga chakatiwa umeme, huduma zadoda

Posted on: June 7, 2012 - jomushi
Kituo cha Afya Songwa, Shinyanga chakatiwa umeme, huduma zadoda

Na Joachim Mushi, Thehabari-Shinyanga VIKUNDI vya Kijamii Kata ya Songwa vimeeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wakazi wa Kata ya Songwa iliyopo wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga,…

Continue Reading....

Maisha ni nyumba

Posted on: June 7, 2012June 7, 2012 - jomushi
Maisha ni nyumba

kila mtu anataka kuishi katika nyumba bora yenye kila kitu kitakacho msababisha afurahie maisha, tazama nyumba hii “ama kweli MAISHA NI NYAMBA”

Continue Reading....

YARA Iternational mbolea itakayoleta mapinduzi ya kijani TZ

Posted on: June 7, 2012June 7, 2012 - jomushi
YARA Iternational mbolea itakayoleta mapinduzi ya kijani TZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru Kampuni ya Kimataifa ya Mbolea ya YARA International ASA kwa kuendelea kuunga mkono jitihada…

Continue Reading....

JK amtuma rambirambi kwa Kandoro

Posted on: June 7, 2012June 7, 2012 - jomushi
JK amtuma rambirambi kwa Kandoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi na pole Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, kuomboleza vifo…

Continue Reading....

TGNP yawanoa wanahabari uandishi habari za uchokonozi vijijini

Posted on: June 6, 2012 - jomushi
TGNP yawanoa wanahabari uandishi habari za uchokonozi vijijini

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari