Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Juni 13, 2012, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi watano…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mukama akabidhi trekta kwa wakulima Kondoa
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akimkabidhi trekta, Diwani wa Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj, Omary Kariati, kwenye Ofisi Ndogo…
Continue Reading....Shule ya msingi Etaro na kilio cha madawati
Uhaba wa madawati katika shule za msingi na sekondari umeendelea kuumiza vichwa vya wapenda elimu pamoja na wazazi kwa ujumla nchini. Hii ikiwa ni pamoja…
Continue Reading....Kumbe tuna International Schools za kata Tanzania!
DHANA ya kwamba shule zote za kata ziko katika mazingira magumu na hazifanyi vema katika maendeleo ya elimu si sahihi kwani kuna baadhi ya Shule…
Continue Reading....JK atuma rambirambi kwa familia ya Bob Makani
RAIS wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni 11, 2012, ameungana na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam kuaga…
Continue Reading....Idara ya Habari na wasemaji wake zikiwamo Halmashauri za Wilaya kujipanga kuisemea Serikali
IDARA ya Habari (MAELEZO) imetakiwa kujipanga vizuri ili kuweza kutekeleza majukumu yake ya kuwa Msemaji wa Serikali ipasavyo; hatua hiyo itasaidia kuepusha malalamiko kutoka kwa…
Continue Reading....