Na Florah Temba, wa dev.kisakuzi.com-Moshi ZAIDI ya watu 46,300 toka Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamebainika hawajui kusoma na kuandika hali ambayo imekuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
EAC na msimamo wa biashara za silaha duniani
Na mwandishi wetu WATAALAMU wa masuala ya usalama toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakamilisha maandalizi ya msimamo wa pamoja wa kikanda…
Continue Reading....Madereva daladala wagoma Moshi
Na mwandishi wetu Moshi MADEREVA wa magari madogo maarufu kama Hiace yanayofanya safari zake katika mji wa Moshi jana wamegoma kwa muda usiojulikana wakilalamikia halmashauri…
Continue Reading....Mwanzilishi wa Mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon amsifu Rais Kikwete
Mwanzilishi wa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon Marie Frances mji wa Bethesda nchini Marekani amemsifu Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama kiongozi anayependa nchi yake na…
Continue Reading....DK. Mukangara ataka halmashauri kutenga bajeti ya michezo
WAZIRI wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara amezitaka halimashauri zote nchini kuhakikisha kuwa zinatenga bajeti kutosha kwa ajili ya kuendeleza sekta ya michezo.…
Continue Reading....Walemavu wataka uwakilishi Tume ya Katiba mpya
JAMII ya Walemavu wasiosikia (viziwi) wameiomba Serikali kuweka wawakilishi wao katika Tume ya mchakato wa Katiba mpya ili waweze kuingiza maoni yao kwa kina mara…
Continue Reading....