Na Mathias Canal, Dodoma MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi amewaagiza wakuu wa shule za Sekondari zote za Wilaya hiyo kuhakikisha wanafikia ufaulu…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Ujenzi wa Daraja la Salenda Kuanza Juni Mwaka Ujao
Ujenzi wa Daraja la Salender litakalounganisha eneo la Coco Beach na eneo Agha Khan kupitia baharini Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Mwezi Juni Mwakani…
Continue Reading....Madereva 10 wa Tanzania Waliotekwa na Waasi Congo DRC Wawasili Nchini
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Suzan Kolimba (katikati), akizungumza na madereva 10 wa Tanzania waliotekwa…
Continue Reading....Mkemia wa Serikali Kupima Matumizi ya Vilevi kwa Madereva
Na Beatrice Lyimo, Maelezo – Dar es Salaam WAKALA ya Mkemia Mkuu wa Serikali imekusudia kuendesha kampeni maalum ya kupima matumizi ya vilevi kwa…
Continue Reading....TTCL Yasaidia Tani 30 za Saruji kwa Waathirika wa Tetemeko Kagera
Na Mwandishi Wetu, Kagera KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL), imekabidhi msaada wa tani 30 za mifuko ya saruji zenye thamani ya…
Continue Reading....Waziri Amuagiza Mkuu wa Wilaya Kuziba Nyufa za Tetemeko la Ardhi
Na Beatrice Lyimo, MAELEZO WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera kufanya ukarabati wa…
Continue Reading....