Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania TTB Dk Aloyce Nzuki wa tatu kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na watanzania hao wakiwa wameshika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mitaala shule za msingi inawachanganya wanafunzi – Walimu
Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com BAADHI ya walimu wa shule za msingi wilaya za Korogwe na Moshi wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule…
Continue Reading....Wanaharakati waipa Serikali siku 7 kulifungulia Mwana Halisi
WATETEZI wa haki za binadamu, asasi za kijamii na wadau wakuu wa habari nchini, leo wameipa serikali siku saba kufungulia gazeti la MwanaHALISI, vinginevyo wataitisha…
Continue Reading....Makarani 800 wagoma kula kiapo cha Sensa
MAANDALIZI ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 26, mwaka huu yameingia dosari baada ya matukio kadhaa ya kukwamisha kazi hiyo kujitokeza katika…
Continue Reading....Mahakama yatengua matokeo ya Mbunge wa CCM Igunga, Chadema kidedea
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kutengua matokeo ya ubunge Jimbo la Igunga yaliyompa ushindi mgombea wake, Dk…
Continue Reading....CCM yasema Dk. Slaa anazeeka vibaya
Na Mwandishi wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nauye amemshukia Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa, kufuatia Kauli aliyoitoa…
Continue Reading....