Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 868

Category: Habari za Nyumbani

Watanzania Waishio Ujerumani Kufanya Mkutano Mkuu Sept. 29, 2012

Posted on: September 24, 2012September 24, 2012 - jomushi
Watanzania Waishio Ujerumani Kufanya Mkutano Mkuu Sept. 29, 2012

UNION OF TANZANIANS IN GERMANY UMOJA wa Watanzania Ujerumani (UTU) Unapenda kuwakaribisha wanachama wote wa UTU, Katika Mkutano mkuu wa UTU. Utakaofanyika Katika ukumbi Uliopo…

Continue Reading....

Bashe, Kigwangalah wapigwa panga CCM

Posted on: September 24, 2012 - jomushi
Bashe, Kigwangalah wapigwa panga CCM

SEKRETARIETI YADAIWA KUPENDEKEZA WAKATWE,VURUGU ZA NZEGA ZAWAPONZA,WABUNGE,MAWAZIRI SASA RUKSA KUWANIA UONGOZI MAKALI ya panga la Sekretarieti ya CCM, yameanza kuonekana baada ya majina ya wagombea…

Continue Reading....

Mkutano Juu ya Sera ya Kudhibiti Pombe Kufanyika Tanzania

Posted on: September 23, 2012September 23, 2012 - jomushi
Mkutano Juu ya Sera ya Kudhibiti Pombe Kufanyika Tanzania

Na Ananilea Nkya MKUTANO wa Kimataifa kujadili umuhimu wa nchi za Afrika Mashariki kuwa na sera ya kudhibiti ulevi unaanza Arusha kesho. Mkutano huo wa…

Continue Reading....

MCT Yaliamuru Dira ya Mtanzania Kumlipa Lowassa kwa Kumkashfu

Posted on: September 22, 2012 - jomushi
MCT Yaliamuru Dira ya Mtanzania Kumlipa Lowassa kwa Kumkashfu

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) imeliamuru Gazeti la Dira ya Mtanzania kumlipa fidia aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa…

Continue Reading....

Serengeti Fiesta Mkoani Mbeya Haikamatiki, Wakazi Wafurika Kushuhudia

Posted on: September 22, 2012 - jomushi
Serengeti Fiesta Mkoani Mbeya Haikamatiki, Wakazi Wafurika Kushuhudia

 Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel, Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini. Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akiwaimbisha…

Continue Reading....

JK Amtumia Rambirambi Kenneth Kaunda Kifo cha Mama Betty Kaunda

Posted on: September 22, 2012 - jomushi
JK Amtumia Rambirambi Kenneth Kaunda Kifo cha Mama Betty Kaunda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda kuomboleza kifo cha mkewe, Mama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari