Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 850

Category: Habari za Nyumbani

Wanafunzi Dar Waadhimisha Siku ya Kunawa Mikono

Posted on: October 17, 2012October 17, 2012 - jomushi
Wanafunzi Dar Waadhimisha Siku ya Kunawa Mikono

  Mgeni rasmi ambaye ni Mratibu wa Tiba wa Manispaa ya Kinondoni, Sirila Mwanisi akizungumza katika maadhimisha ya Siku ya Kunawa mikono katika viwanja vya…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Aongoza Wakazi wa Dar Kumuaga Kamanda Barlow

Posted on: October 16, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais Aongoza Wakazi wa Dar Kumuaga Kamanda Barlow

*Mwili wake Wasafirishwa Kwenda Kilimanjaro Kwa Mazishi MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal leo ameongoza viongozi mbalimbali wa…

Continue Reading....

Lowassa Aongoza Harambee Ujenzi wa Sekondari ya Kiislamu

Posted on: October 16, 2012 - jomushi
Lowassa Aongoza Harambee Ujenzi wa Sekondari ya Kiislamu

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ya kiislam wa Wilaya wa…

Continue Reading....

Tanzania, Oman Tunauhusiano wa Kidamu- Rais Kikwete

Posted on: October 16, 2012 - jomushi
Tanzania, Oman Tunauhusiano wa Kidamu- Rais Kikwete

Na Mwandishi Wetu TANZANIA na Oman zina mahusiano ya Kidamu na kindugu ambayo ni maalum sana yanayopaswa kudumishwa, kuthaminiwa na kuenziwa kwa dhati. Rais Jakaya…

Continue Reading....

CHADEMA UK Yavuna Wanachama Wapya Mkutanoni

Posted on: October 16, 2012 - jomushi
CHADEMA UK Yavuna Wanachama Wapya Mkutanoni

Katibu Mkuu wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) akizungumza katika mkutano huo High Table Makamanda wakifuatilia mkutano kwa makini  Makamu Katibu Mwenezi wa CHADEMA UK…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Dk. Bilal Afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa TAKUKURU

Posted on: October 16, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais Dk. Bilal Afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa TAKUKURU

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari