Category: Habari za Nyumbani
Uwepo wa Serikali Mbili Ndio Sera Sahihi ya CCM – Dk. Shein
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed…
Continue Reading....Jackson Makwetta Afariki Dunia
MWANASIASA maarufu na aliyewahi kuwa Waziri katika wizara mbalimbali serikalini zikiwemo Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Elimu, Kilimo na Utumishi, Bw. Jackson Makwetta…
Continue Reading....Wakuu wa Tume za Uchaguzi EAC Waishauri Tume ya Uchaguzi Kenya
Na Mark Mugisha, EANA-Arusha WAKUU wa tume za uchaguzi kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameishauri Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya…
Continue Reading....Mgogoro wa Kugombea Ziwa Nyasa Kati ya Tanzania na Malawi Wapelekwa SADC
MGOGORO wa kugombea nani ni mmiliki wa Ziwa Nyasa kati ya nchi za Tanzania na Malawi umezidi kuwa mgumu baada ya kushindwa kuafikiana tena leo…
Continue Reading....TGNP Yavipongeza Vyombo vya Habari
Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com KAIMU Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Mary Nsemwa amevipongeza vyombo mbalimbali vya habari nchini kwa kile sasa kutoa nafasi…
Continue Reading....