Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 797

Category: Habari za Nyumbani

Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

Posted on: December 8, 2012December 8, 2012 - jomushi
Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

LEO ni leo. Waswahili wanasema ‘mtoto hatumwi dukani’. Mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji yanatarajia kumalizika leo jioni ambapo mbabe wa kombe hilo kwa mwaka 2012…

Continue Reading....

Utafiti Wabaini Nguo za Ndani Zachangia Ugumba

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Utafiti Wabaini Nguo za Ndani Zachangia Ugumba

TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume,…

Continue Reading....

Breaking Newz; Mkutano Mkubwa wa CHADEMA Manzese

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Breaking Newz; Mkutano Mkubwa wa CHADEMA Manzese

IKIWA ni siku moja tangu Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA, John Mnyika ashinde kesi yake iliyokuwa ikipinga ubunge wake, leo atafanya ziara kubwa…

Continue Reading....

Polisi Mara Yakanusha Uvumi ya Mauaji ya Raia 15

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Polisi Mara Yakanusha Uvumi ya Mauaji ya Raia 15

Na Thomas Dominick, Mara JESHI la Polisi mkoani Mara limekanusha uvumi wa kutishia raia unaotolewa na baadhi ya wananchi wenye nia mbaya kwa vyombo vya…

Continue Reading....

FFU wa Ngoma Africa Band Watoa Heri ya Miaka 51 ya Uhuru!

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
FFU wa Ngoma Africa Band Watoa Heri ya Miaka 51 ya Uhuru!

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa” aka FFU, inapenda kuwatakia kila la heri na fanaka Watanzania wote kwa kuadhimisha miaka 51…

Continue Reading....

JK Amteuwa Zahor Mohamed Kuwa Mkurugenzi Mamlaka ya Uvuvi Bahari Kuu

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
JK Amteuwa Zahor Mohamed Kuwa Mkurugenzi Mamlaka ya Uvuvi Bahari Kuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Zahor Kassim Mohamed EL-KHAROUSY kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kusimamia Uvuvi katika Bahari…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari