Ndugu Wanajumuia, Nina masikitiko makubwa kuwajulisha kwamba kaka mpendwa Mabula Aloys Nyamenda amefariki dunia February 22, 2013 hapo San Diego, California. Marehemu allikua akisumbuliwa na…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
FBI Waingia Zanzibar Kusaka Wauaji wa Padri Mushi
ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamewasili Zanzibar kufanya uchunguzi wa kuwabaini waliomuua kwa kumpiga risasi, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki. Kamishna…
Continue Reading....Mama Salma Kikwete Asisitiza kliniki kwa Wajawazito
Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Sumbawanga WAJAWAZITO wametakiwa kuhudhuria kliniki mapema pale wanapojitambua kuwa na ujauzito hii itawasaidia kupata huduma mbalimbali za afya ikiwa…
Continue Reading....Wajumbe Bodi ya Shirika la viwango Tanzania (TBS), Wateuliwa
UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof.…
Continue Reading....Waumini Kanisa Katoliki Wamuaga Papa Benedikt wa 16, Awapa Ujumbe Mzito Makadinali
KIONGOZI wa kanisa katoliki ulimwenguni, Papa Benedikt wa 16 atakaestaafu kuanzia february 28 na kujishughulisha zaidi na ibada na kutafakari, ameongoza misa yake ya mwisho…
Continue Reading....Hatua za Lala Salama Uchaguzi wa Kenya
KINYANG’ANYIRO cha Uchaguzi Mkuu wa Kenya utakaofanyika Jumatatu kimeingia hatua ya lala salama hivi sasa, huku wagombea wakiendelea kuzunguka kwenye majimbo kuomba kura. Kura za…
Continue Reading....