Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 722

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Azungumza na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle

Posted on: March 6, 2013March 6, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle

WAZIRIMkuu wa Denmark, Mheshimiwa Helle Thorning-Schmidt aliwasili nchini Machi 5, 2013, kuanza ziara ya siku nne ya Kiserikali katika Tanzania kwa mwaliko wa Rais wa…

Continue Reading....

JK Aipa Pole BAKWATA kwa Msiba

Posted on: March 6, 2013 - jomushi
JK Aipa Pole BAKWATA kwa Msiba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Issa Bin Shaabani Simba kufuatia…

Continue Reading....

Waangalizi wa Kanda Uchaguzi Kenya Wasifia Zoezi Zima

Posted on: March 6, 2013March 7, 2013 - jomushi
Waangalizi wa Kanda Uchaguzi Kenya Wasifia Zoezi Zima

Na Isaac Mwangi, EANA-Arusha WAANGALIZI wa Kanda katika uchaguzi mkuu wa Kenya wameonyesha kuukubali mwenendo wa upigaji kura Jumatatu kuwa ulikwenda sawia na kutaka hali…

Continue Reading....

Tanzania Yashiriki Maonesho ya Kimataifa ya ITB, Ujerumani

Posted on: March 6, 2013March 7, 2013 - jomushi
Tanzania Yashiriki Maonesho ya Kimataifa ya ITB, Ujerumani

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Balozi Christopher Mvula kushoto akizungumza na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki wakati yeye…

Continue Reading....

Mara Foundation Yazinduliwa

Posted on: March 6, 2013 - jomushi
Mara Foundation Yazinduliwa

Afisa Mkuu Mtendaji wa Helvetic Solar Contractors Patrick Ngowi akisikiliza mawazo ya mmoja wa vijana wajasiriamali mwenye nia ya kukataka kukuza biashara yake na kuifanya…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa Wahariri Tanzania, Kibanda Akatwa Mapanga, Atobolewa Jicho

Posted on: March 6, 2013March 7, 2013 - jomushi
Mwenyekiti wa Wahariri Tanzania, Kibanda Akatwa Mapanga, Atobolewa Jicho

Na dev.kisakuzi.com MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mtanzania amevamiwa na watu wasiojulikana jana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari