Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 72

Category: Habari za Nyumbani

RC Awataka Ustawi wa Jamii Kushirikiana na Polisi Kudhibiti Ukatili

Posted on: November 8, 2016 - jomushi
RC Awataka Ustawi wa Jamii Kushirikiana na Polisi Kudhibiti Ukatili

  Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa…

Continue Reading....

Benki ya Twiga Bancorp ‘Yatoka’ Kifungoni…!

Posted on: November 7, 2016November 7, 2016 - jomushi
Benki ya Twiga Bancorp ‘Yatoka’ Kifungoni…!

BENKI ya Twiga Bancorp Ltd (Twiga) ambayo ilikuwa imefungwa kwa muda na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaanza kufanya kazi baada ya mchakato wa kuifanyia…

Continue Reading....

Rais Magufuli ‘Amlilia’ Spika Mstaafu Samuel Sitta, CCM Watuma Rambirambi..!

Posted on: November 7, 2016November 7, 2016 - jomushi
Rais Magufuli ‘Amlilia’ Spika Mstaafu Samuel Sitta, CCM Watuma Rambirambi..!

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Continue Reading....

Wasanii wa Nigeria Kunogesha Fainali ya Fiesta 2016 Dar

Posted on: November 4, 2016 - jomushi
Wasanii wa Nigeria Kunogesha Fainali ya Fiesta 2016 Dar

 Msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade (kushoto) , akisalimiana na msanii Snura Mushi alipokuwa amewasili ukumbi wa mikutano wa Kampuni ya Simu ya Tigo kuzungumza na…

Continue Reading....

EU yawekeza EURO milioni 1.7 Kituo cha Utamaduni Makumira.

Posted on: November 4, 2016 - jomushi
EU yawekeza EURO milioni 1.7 Kituo cha Utamaduni Makumira.

Meneja Mradi wa Kituo cha Utamaduni cha Makumira, Randall Stubbs akitoa maelezo kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland…

Continue Reading....

Taasisi ya ANSAF Yawanoa Wadau wa Kilimo Kanda ya Ziwa

Posted on: November 4, 2016 - jomushi
Taasisi ya ANSAF Yawanoa Wadau wa Kilimo Kanda ya Ziwa

Katibu Tawala Msaidizi idara ya Uchumi na Uzalishaji mkoani Mwanza, Joanen Kukwami akifungua mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari