Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa masikitiko na huzuni nyingi taarifa za…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mjengwa Abaki ‘Mtuhumiwa’ Shambulizi la Absalom Kibanda
KAULI aliyoitoa leo mwandishi na mmiliki wa Mjengwa Blog inaonesha Jeshi la Polisi limemjumuisha kuwa miongoni mwa watuhumiwa wanaodaiwa kumshambulia, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri…
Continue Reading....CAG Ataka William Mhando wa Tanesco na Mkewe Washitakiwe
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amemuweka kitanzini aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, baada…
Continue Reading....Mfanyabiashara Maarufu Kilimanjaro, Arusha Aanguka na Ndege na Kufariki Dunia
KWA mara nyingine, Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha imetikiswa, kutokana na kifo cha mfanyabiashara maarufu katika mikoa hiyo, Joseph Sambeke (49) maarufu kama Bob Sambeke.…
Continue Reading....Shule Yateketea kwa Moto Dar es Salaam
MABWENI ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, yameteketea kwa moto na kusababisha hasara ya…
Continue Reading....Ushahidi Kesi za Kubaka/Mimba ni Changamoto Handeni
Na Joachim Mushi, Handeni “KESI nyingi za tuhuma za kubaka na mimba kwa wanafunzi zinazotufikia zinashindwa kufikia hukumu maana mashahidi wanashindwa kuthibitisha pasipo shaka…nyingi zinaharibika…
Continue Reading....