Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 684

Category: Habari za Nyumbani

JK Amteua Mwantumu Mahiza Sauti Mkuu

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
JK Amteua Mwantumu Mahiza Sauti Mkuu

Na Hussein Makame- Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania Dk. Jakaya Mrsho Kikwete amemteua Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu nchini. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

Wanajeshi Kutoka Nigeria Waitembelea Wizara ya Habari

Posted on: April 30, 2013 - jomushi
Wanajeshi Kutoka  Nigeria Waitembelea Wizara ya Habari

Picha na Anna Nkinda – Maelezo.

Continue Reading....

Kamuhanda. Elimu ya Uzalendo Imechangia Amani na Utulivu

Posted on: April 30, 2013April 30, 2013 - jomushi
Kamuhanda. Elimu ya Uzalendo Imechangia  Amani na Utulivu

Picha na Anna Nkinda – Maelezo. NA MAGRETH    KINABO                                                                           ELIMU ya uzalendo imesaidia  kuwafanya  vijana  wa Kitanzania kuipenda nchi yao , hali iliyochangia nchi…

Continue Reading....

Viini Sugu vya Malaria Vyagunduliwa, ‘Havitibiki’

Posted on: April 29, 2013April 29, 2013 - jomushi
Viini Sugu vya Malaria Vyagunduliwa, ‘Havitibiki’

UGONJWA wa malaria huwenda ukaendelea kuwa hatari zaidi kwa sasa baada ya wanasayansi kugunduwa aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha ugonjwa huo ambavyo havisikii dawa…

Continue Reading....

Watumishi wa Umma Watakiwa Kukuza Uchumi

Posted on: April 29, 2013April 29, 2013 - jomushi
Watumishi wa Umma Watakiwa Kukuza Uchumi

Na Georgina Misama-Maelezo WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Manejimenti  ya Utumishi wa Umma Celina Kombani amewataka watumishi wa Umma kutimiza wajibu wao ipasavyo ili…

Continue Reading....

Rasimu ya Katiba Kuzingatia Maoni ya Wananchi,Walemavu

Posted on: April 29, 2013April 29, 2013 - jomushi
Rasimu ya Katiba Kuzingatia Maoni ya Wananchi,Walemavu

Na Hussein Makame na Genofeva Matemu-Maelezo 29.04.2013. TUME ya Mabadiliko ya Katiba inajiandaa kutengeneza rasimu ya Katiba Mpya itakayozingatia maoni ya wananchi ambayo inatarajiwa kutolewa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari