Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 495

Category: Habari za Nyumbani

Milioni 500 Zatengwa Ujenzi wa Nyumba za Walimu

Posted on: March 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Milioni 500 Zatengwa Ujenzi wa Nyumba za Walimu

Serikali imetenga Shilingi Milioni Mia Tano (Tshs 500m) kwa Halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za Walimu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete…

Continue Reading....

Video: Vishindo vya Lusinde ndani ya Bunge la Katiba, asema acheni uoga

Posted on: March 27, 2014 - admin
Post Tags: featured, Livingstone Lusinde, Lusinde
Video: Vishindo vya Lusinde ndani ya Bunge la Katiba, asema acheni uoga

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde alipopata fursa ya kujibu baadhi ya hoja – ikiwemo ya Mchungaji Christopher Mtikila. Vishindo vya Lusinde vililenga kunyamazisha hoja ya…

Continue Reading....

Kamati ya Huduma ya Jamii Korogwe Yapitisha Mpango wa Tiba kwa Kadi

Posted on: March 27, 2014March 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Kamati ya Huduma ya Jamii Korogwe Yapitisha Mpango wa Tiba kwa Kadi

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji…

Continue Reading....

“Ichambueni Rasimu ya Katiba Mpya kama Mlivyotumwa na wananchi.”Umoja wa Watumiaji wa Ardhi

Posted on: March 27, 2014March 27, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
“Ichambueni Rasimu ya Katiba Mpya kama Mlivyotumwa na wananchi.”Umoja wa Watumiaji wa Ardhi

Na Magreth Kinabo- MAELEZO,Dodoma Umoja wa Watumiaji wa Ardhi umewataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuanza kuifanya kuichambua Rasimu ya Katiba Mpya kama walivyotumwa…

Continue Reading....

Baraza la Vyama vya Siasa Lawataka Wajumbe Bunge la Katiba Kuweka mbele Utaifa.

Posted on: March 27, 2014 - jomushi
Baraza la Vyama vya Siasa Lawataka Wajumbe Bunge la Katiba Kuweka mbele Utaifa.

(Na Magreth Kinabo ,MAELEZO Dodoma) KAMATI  ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa inawaomba wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kuzingatia kanuni  kwani…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa Autaka Uongozi wa Dampo Kurekebisha Miundombinu ya Barabara

Posted on: March 27, 2014 - jomushi
Mkuu wa Mkoa Autaka Uongozi wa Dampo Kurekebisha Miundombinu ya Barabara

Gari la Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick likiwasili Dampo kuu la taka la Pugu Kinyamwezi, lililopo maeneo ya Gongo la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari