Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 477

Category: Habari za Nyumbani

Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mimba kwa Wanafunzi
Wanavijiji Mbeya Walaumiana Udhibiti wa Mimba kwa Wanafunzi

Na Joachim Mushi, Mbeya Vijijini WANAVIJIJI wa vijiji vya Shibolya, Usoha Njiapanda, Simambwe, Ikhoho na Ilembo Usafwa vyote vya wilayani Mbeya Vijijini wametupiana lawama kuhusiana…

Continue Reading....

Siku 67 za Mipasho, Matusi Bungeni Zamalizika..!

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: bunge la katiba, featured
Siku 67 za Mipasho, Matusi Bungeni Zamalizika..!

BUNGE Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.…

Continue Reading....

Kampuni ya UNHWA Yaisaidia NIMR Uvumbuzi Dawa za Mimea

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: NIMR
Kampuni ya UNHWA Yaisaidia NIMR Uvumbuzi Dawa za Mimea

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Mtendaji Mkuu wa kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini  Bw. Young Woo Jin na ujumbe wake na uongozi wa…

Continue Reading....

JK Akomalia Madawa ya Kulevya Viwanja vya Ndege

Posted on: April 25, 2014April 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Dawa za Kulevya, featured
JK Akomalia Madawa ya Kulevya Viwanja vya Ndege

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameiamuru Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake kuchukua hatua za mara moja kukomesha…

Continue Reading....

Cleopa Msuya Ampongeza Rais Kikwete

Posted on: April 25, 2014 - jomushi
Cleopa Msuya Ampongeza Rais Kikwete

WAZIRI Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu, Cleopa David Msuya amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuanzisha mchakato wa…

Continue Reading....

Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!

Posted on: April 24, 2014April 24, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, maafa, makazi, wakazi
Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!

Kama picha zilivyonaswa na thehabari hapo juu, inaonekana wakazi wa Jangwani wakirejesha makazi yao licha ya maafa makubwa yaliyowakuta kutokana na mvua kubwa zilizolikumba jiji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari