Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 465

Category: Habari za Nyumbani

JK Azinduwa Mpango Mkakati wa Kupunguza Vifo vya Uzazi na Watoto, Atoa Changamoto…!

Posted on: May 16, 2014May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Vifo vya Uzazi na Watoto
JK Azinduwa Mpango Mkakati wa Kupunguza Vifo vya Uzazi na Watoto, Atoa Changamoto…!

Na Magreth Kinabo – Maelezo RAIS Jakaya Kikwete amewataka Wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha kuwa wanasimamia Mpango Mkakati ulioboreshwa wa Kuongeza Kasi ya Kupunguza vifo vya Uzazi vya wakinamama na…

Continue Reading....

Mama Salma Kikwete Ataka Watoto Walemavu Wapendwe

Posted on: May 16, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Walemavu Mama Salma

Na Anna Nkinda – Maelezo WAZAZI wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani…

Continue Reading....

Access Bank Yatoa Msaada wa Kompyuta kwa Shule ya Sekondari Azania

Posted on: May 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Msaada Shuleni
Access Bank Yatoa Msaada wa Kompyuta kwa Shule ya Sekondari Azania

 Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo…

Continue Reading....

Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii Waandamana Kuwapinga Boko Haram

Posted on: May 15, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Maandamano Boko Haram
Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii Waandamana Kuwapinga Boko Haram

MTANDAO wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) nchini Tanzania pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kike shule kadhaa za Sekondari jijini Dar es Salaam umefanya…

Continue Reading....

Polisi Wambaini Aliyepora Fedha Barclays Dar, Watumia Picha Kumsaka

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mtuhumiwa Wizi wa Mabenki
Polisi Wambaini Aliyepora Fedha Barclays Dar, Watumia Picha Kumsaka

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa muhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina…

Continue Reading....

Kamata Kamata Bodaboda na Bajaji Dar, Jiji Lageuza Biashara..!

Posted on: May 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Bodaboda Mjini, featured
Kamata Kamata Bodaboda na Bajaji Dar, Jiji Lageuza Biashara..!

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari