Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 463

Category: Habari za Nyumbani

Flaviana, Balozi Maajar Washiriki Kumbukumbi Vifa vya MV Bukoba

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
Flaviana, Balozi Maajar Washiriki Kumbukumbi Vifa vya MV Bukoba

Flaviana na Balozi Mwanaidi Maajar walishiriki kuweka mashada katika mababuri Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya almaarufu kama AY alikuwepo kuungana na Flaviana…

Continue Reading....

Japan Yaahidi Kuendelea Kuchangia Bajeti ya Tanzania

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Bajeti ya Tanzania, featured
Japan Yaahidi Kuendelea Kuchangia Bajeti ya Tanzania

Mwandishi Maalum, Tokyo SERIKALI ya Japan imeelezea nia yake ya kuendelea kuchangia bajeti ya Tanzania na kufafanua kuwa, inafanya hivyo kwa kutambua kuwa Tanzania ni…

Continue Reading....

DIT, CBE Kuoneshana Fainali Beach Soccer

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
DIT, CBE Kuoneshana Fainali Beach Soccer

FAINALI ya michuano ya mpira wa miguu ya ufukweni (beach soccer) kati ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na Chuo cha Elimu ya…

Continue Reading....

UDA Kutumiwa na Wanafunzi kwa Vitambulisho Maalum

Posted on: May 21, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mabasi ya UDA
UDA Kutumiwa na Wanafunzi kwa Vitambulisho Maalum

Na Anna Nkinda – Maelezo WILAYA ya Kinondoni kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaandaa mkakati wa kusafirisha wanafunzi…

Continue Reading....

Wabunge Wataka Kikwete Aunde Tume ya Elimu

Posted on: May 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, wabunge
Wabunge Wataka Kikwete Aunde Tume ya Elimu

BAADHI ya wabunge jana walichachamaa wakisema elimu nchini ipo mahututi na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu itakayochunguza mfumo wa elimu…

Continue Reading....

Katibu Kinana Kuunguruma Tabora Mjini Leo

Posted on: May 18, 2014 - jomushi
Katibu Kinana Kuunguruma Tabora Mjini Leo

Na Bashir Nkoromo, Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuuteka mji wa Tabora, wakati Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana atakapohitimisha ziara yake ya siku…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari