Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 446

Category: Habari za Nyumbani

Ujerumani Yafanya ‘Mauaji’ ya Kihistoria Brazil

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ujerumani Yafanya 'Mauaji'
Ujerumani Yafanya ‘Mauaji’ ya Kihistoria Brazil

TIMU ya Taifa ya Ujerumani imefanya mauaji ya kihistoria katika Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibugiza Timu ya Brazil mabao saba kwa moja…

Continue Reading....

Dk. Bilal Aiwakilisha Tanzania Maadhimisho ya Uhuru wa Malawi

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Uhuru wa Malawi
Dk. Bilal Aiwakilisha Tanzania Maadhimisho ya Uhuru wa Malawi

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, Julai 06, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa…

Continue Reading....

Wanahabari Wahimizwa Kuzingatia Maadili

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Wanahabari Wahimizwa Kuzingatia Maadili

Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya…

Continue Reading....

Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, featured
Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya

Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya TAARIFA zinasema bomu limerushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kama ‘Traditional Indian Cusine’ uliopo karibu na Hotel ya Gymkana…

Continue Reading....

TGNP Mtandao Conducts Gender Festival in Tarime

Posted on: July 8, 2014July 8, 2014 - jomushi
TGNP Mtandao Conducts Gender Festival in Tarime

TANZANIA Gender networking program (TGNP) is conducting a three day Gender Festival in Tarime District with the aim to raise awareness to traditional elders and…

Continue Reading....

Wanaume wa Tarime Wakataa Ukeketaji

Posted on: July 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Tarime Wakataa Ukeketaji
Wanaume wa Tarime Wakataa Ukeketaji

Na Deogratius Temba WANAUME kutoka katika Kata ya Nyamaraga Kijiji cha Ng’ereng’ere Wilaya ya Tarime mkoani Mara wamewataka wanaume wote kukataa kuoa wasichana waliokeketwa ili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari