Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 439

Category: Habari za Nyumbani

Rais Mstaafu Mwinyi Awaasa Watanzania

Posted on: July 24, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Rais Mstaafu Mwinyi Awaasa Watanzania
Rais Mstaafu Mwinyi Awaasa Watanzania

Na Aron Msigwa – MAELEZO RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, amewataka Watanzania kuwa makini kwa kutoruhusu tofauti za dini zilizopo nchini…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awang’ang’ania Wezi Vyama vya Ushirika

Posted on: July 24, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Wezi Vyama vya Ushirika
Rais Kikwete Awang’ang’ania Wezi Vyama vya Ushirika

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitalipa madeni ambayo baadhi ya Vyama vya Ushirika nchini vinadaiwa na…

Continue Reading....

Nyumba za Taasisi ya Mkapa Zazinduliwa Tunduru

Posted on: July 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Nyumba za Taasisi ya Mkapa
Nyumba za Taasisi ya Mkapa Zazinduliwa Tunduru

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Julai 22, 2014, amezindua mradi wa nyumba 40 za watumishi wa sekta ya Afya katika…

Continue Reading....

Polisi Arusha Wakamata Mabomu Saba, 25 Washikiliwa

Posted on: July 23, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Polisi Arusha Wakamata Mabomu Saba
Polisi Arusha Wakamata Mabomu Saba, 25 Washikiliwa

JESHI la Polisi limekamata mabomu saba ya kutupa kwa mkono, risasi sita za bunduki aina ya Shortgun, mapanga mawili na bisibisi moja, katika operesheni dhidi…

Continue Reading....

Siri Utupaji Viungo vya Maiti Yabainika Dar

Posted on: July 23, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Siri Utupaji Viungo vya Maiti Dar
Siri Utupaji Viungo vya Maiti Yabainika Dar

WAKATI ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika…

Continue Reading....

Mke wa Polisi Afia Nyumbani kwa Dereva wa Bodaboda

Posted on: July 22, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mke wa Polisi Afia kwa Dereva wa Bodaboda
Mke wa Polisi Afia Nyumbani kwa Dereva wa Bodaboda

JESHI la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari