RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TFDA Kurutubisha Vyakula na Kusimamia Usalama
Na Frank Mvungi SERIKALI imejipanga kufanikisha mpango wa kitaifa wa urutubishaji vyakula na kusimamia usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwa lengo la kulinda afya…
Continue Reading....Asasi Yaitaka Serikali Kutunga Sheria Kudhibiti Pombe
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imeshauriwa kutunga sera madhubuti ya udhibiti wa pombe katika jamii ili pamoja na mambo mengine kuhakikisha vijana wanalindwa dhidi ya bidhaa…
Continue Reading....Watendaji BRN Watakiwa Kuwa Chachu ya Mabadiliko
Na Hassan Abbas WATENDAJI wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelzaji wa Miradi ya Kipaumbele (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wametakiwa kuwa chachu…
Continue Reading....Jaji Lewis Makame Afariki Dunia Jijini Dar
TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini (NEC), Jaji Lewis Makame amefariki dunia katika Hospitali ya Trauma…
Continue Reading....Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani; Serikali Kuwashirikisha Vijana Utekelezaji Sera
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa…
Continue Reading....