Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 400

Category: Habari za Nyumbani

Rais Kikwete Awatembelea Viongozi Waliolazwa Muhimbili

Posted on: October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Raisi Kikwete
Rais Kikwete Awatembelea Viongozi Waliolazwa Muhimbili

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…

Continue Reading....

Jenerali Mtaafu Hashimu Mtezo Afariki Dunia

Posted on: October 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Afariki, Brigedia Jenerali
Jenerali Mtaafu Hashimu Mtezo Afariki Dunia

JESHI la Ulinzila Wananchiwa Tanzania (TWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali (mstaafu) Hashimu Said Mtezo kilichotokea tarehe 04 Oct 14 kwa ugonjwa katika Hospitali…

Continue Reading....

Ikulu Yatuma Rambirambi Kifo cha Dk Shija

Posted on: October 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk William Shija, Ikulu, kifo
Ikulu Yatuma Rambirambi Kifo cha Dk Shija

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameelezea huzuni na masikitiko yake kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya…

Continue Reading....

Waziri Pinda Ataka Busara Kumaliza Mgogoro Kagera, Alia na Madawati…!

Posted on: October 6, 2014October 6, 2014 - jomushi
Post Tags: Busara, Kagera, Pinda, Upungufu wa Madawati

  Na Mwandishi Wetu, Kagera WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Kagera ukae na kuzungumza ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa…

Continue Reading....

Elimu ya Awali Tunduru na Changamoto Zake

Posted on: October 5, 2014 - jomushi
Post Tags: Changamoto, Elimu ya awali, Tunduru
Elimu ya Awali Tunduru na Changamoto Zake

Na Joachim Mushi, Tunduru WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki…

Continue Reading....

JK Akagua Ujenzi Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi

Posted on: October 4, 2014 - jomushi
JK Akagua Ujenzi Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi

  Jengo kuu la  Chuo  cha Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha Chuo Kikuu cha Dodoma  mjini Dodoma   Sehemu ya majengo ya Chuo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari