Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 369

Category: Habari za Nyumbani

DC Azinduwa Mtambo wa Nitrogeni Mpanda

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
Post Tags: DC, Mpanda, Mtambo wa Nitrogeni
DC Azinduwa Mtambo wa Nitrogeni Mpanda

Na Kibada Kibada- Katavi MKUU wa Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Paza Mwamlima amezindua Mtambo wa Kuzalisha Kimiminika cha Nitrogeni utakaotumika katika kuhifadhi mbegu bora za mifugo…

Continue Reading....

JK Awateuwa Revocati, Mafuru na Prof Kambarage

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete
JK Awateuwa Revocati, Mafuru na Prof Kambarage

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5…

Continue Reading....

Yamoto Band, FM Academia, Sylight na Mapacha Jukwaa Moja…!

Posted on: December 11, 2014December 11, 2014 - jomushi
Post Tags: FM Academia, Sylight na Mapacha, Yamoto Band
Yamoto Band, FM Academia, Sylight na Mapacha Jukwaa Moja…!

Na Mwandishi Wetu BENDI nne nyota nchini, FM Academia, Yamoto, Mapacha na SkyLight zitatumbuiza katika jukwaa moja kwenye tamasha la Beach band Bonanza lililopangwa kufanyika…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa Mwanza Awakomalia Watendaji wa Jiji

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Mkuu wa Mkoa Mwanza, Watendaji
Mkuu wa Mkoa Mwanza Awakomalia Watendaji wa Jiji

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo amekerwa na hali ya uchafu iliyopo katika mitaa ya Jiji la Mwanza na kuwaagiza watendaji wa halmashauri hiyo kuacha kukaa…

Continue Reading....

Dk Bilal Awahutubia Wawakilishi Mkutano wa Mazingira Afrika

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Dk Bilal, Mazingira Afrika, mkutano
Dk Bilal Awahutubia Wawakilishi Mkutano wa Mazingira Afrika

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal Desemba 10, 2014, amewahutubia wawakilishi wa Afrika katika Mkutano wa Mazingira Duniani…

Continue Reading....

CCM Iringa Wafunga Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
CCM Iringa Wafunga Kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Fredy Mgunda, Iringa   KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari