Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 368

Category: Habari za Nyumbani

Matokeo mbalimbali ya Uchaguzi Serikali za Mitaa

Posted on: December 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Matokeo Uchaguzi, Uchaguzi Serikali za Mitaa
Matokeo mbalimbali ya Uchaguzi Serikali za Mitaa

MWANGA Mtaa wa Lwami CHADEMA 55, CCM 35, Mererani CHADEMA imeshinda mitaa 7 kati ya 8 na Kitongoji cha Endulele CHADEMA 170, CCM 130. Jijini…

Continue Reading....

Mama wa ‘Wanahabari’ Kuzikwa Jumatano Mbeya

Posted on: December 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Kuzikwa, Mama wanahabari, Mbeya
Mama wa ‘Wanahabari’ Kuzikwa Jumatano Mbeya

Na Joachim Mushi MAMA mzazi wa waandishi wa habari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Hindu Mandal…

Continue Reading....

LAPF Yasaidia Ujenzi wa Maabara Sekondari ya Mihande

Posted on: December 14, 2014 - jomushi
LAPF Yasaidia Ujenzi wa Maabara Sekondari ya Mihande

Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati…

Continue Reading....

Mama Kikwete Awataka Wanalindi Kujitokeza Kupiga Kura

Posted on: December 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Kupiga Kura, Mama Kikwete
Mama Kikwete Awataka Wanalindi Kujitokeza Kupiga Kura

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma…

Continue Reading....

Benki ya Posta Yakabidhi Stika za Usalama Barabarani

Posted on: December 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Benki ya Posta, Stika za Usalama Barabarani
Benki ya Posta Yakabidhi Stika za Usalama Barabarani

Continue Reading....

WLAC Yazinduwa Ripoti ya Watoto Waliopo Magarezani Dar

Posted on: December 11, 2014 - jomushi
WLAC Yazinduwa Ripoti ya Watoto Waliopo Magarezani Dar

 Mtaalamu wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (Unicef), Victoria Mgonela, akizungumza katika uzinduzi huo.   Kaimu Mkurugenzi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari