Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 366

Category: Habari za Nyumbani

Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii

Posted on: December 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Hifadhi ya Jamii, Kongamano, Waziri wa Fedha
Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini…

Continue Reading....

Sakata la Escrow: Prof. Tibaijuka Asema Hawezi Kujiuzulu Kwenye Mafanikio…!

Posted on: December 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Kujiuzulu, Prof. Tibaijuka, Sakata la Escrow
Sakata la Escrow: Prof. Tibaijuka Asema Hawezi Kujiuzulu Kwenye Mafanikio…!

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema kamwe awezi kujiuzulu wadhifa wake kwa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyomkumba…

Continue Reading....

Jiji Latafuta Suluhisho la Ombaomba na Wamachinga

Posted on: December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Jiji Dar, Ombaomba, Wamachinga
Jiji Latafuta Suluhisho la Ombaomba na Wamachinga

Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam   JIJI la Dar es salaam linaangalia utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji…

Continue Reading....

Waziri Pinda Asema Serikali Inatafuta Soko la Utalii UAE

Posted on: December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Dubai, Le Meridien, Soko la Utalii, Waziri Pinda
Waziri Pinda Asema Serikali Inatafuta Soko la Utalii UAE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aungana na Wanahabari Kutoa Pole Msiba wa Mama wa Wanahabari

Posted on: December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale, Rais Kikwete
Rais Kikwete Aungana na Wanahabari Kutoa Pole Msiba wa Mama wa Wanahabari

   Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya…

Continue Reading....

Hospitali ya Apollo Yatenganisha Mapacha Walioungana Kutoka Tanzania

Posted on: December 17, 2014December 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Hospitali ya Apollo, Mapacha Walioungana, tanzania
Hospitali ya Apollo Yatenganisha Mapacha Walioungana Kutoka Tanzania

WATANZANIA wameendelea kufaidika kwa huduma bora za afya kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyokonchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari