KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepanga Mkutano Mkuu wa Kawaida wa mwaka ufanyike Machi 14 na 15 mwakani mjini…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mapinduzi ya Kitekinolojia Katika Sekta ya Afya
KATIKA muongo uliopita sekta ya afya imeshuhudia mabadiliko fulani ya ajabu katika maendeleo ya kiteknolojia na uvumbuzi ambao umeleta mchango mkubwa katika utoaji wa ushauri…
Continue Reading....Kikwete Kuteta na Wazee wa Dar es Salaam
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, mchana wa Jumatatu, Desemba 22, 2014.…
Continue Reading....Mtandao wa Wanawake na Katiba Waeleza Sababu za Kuunga Mkono Katiba Inayopendekeza
MTANDAO Wanawake na Katiba nchini pamoja na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) wamesema wanaunga mkono Katiba iliyopendekezwa na kujivunia hatua waliopiga katika kudai haki mbalimbali…
Continue Reading....Mama Kikwete Awaasa Vijana Uzinduzi UWAMAKI
Na Anna Nkinda – Maelezo VIJANA wametakiwa kujiunga na vikundi vya kuweka akiba na kukopa ili kuchangia mawazo yao na ubunifu na wakati huo huo wanajitengenezea…
Continue Reading....Dk. James Mataragio Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa TPDC, JK Ateuwa Msaidizi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk. James P. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania…
Continue Reading....