KAMATI ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mzimu wa Escrow Waendelea Kula Vichwa, Katibu Mkuu Nishati ‘Stop’
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi…
Continue Reading....Geofrey Mungai Awasaidia Yatima wa Daily Bread Life
Bi Sarah Mungai akiwa na mmoja kati ya watoto yatima wa kituo cha DBL mkimbizi Iringa Bi sarah Mungai akiwa na Mtoto aliyetupwa na mama …
Continue Reading....TTCL Wawapa Misaada Wagonjwa wa Saratani Ocean Road
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imetoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Hospitali ya Wagonjwa wa Kansa Ocean Road ya jijini Dar es…
Continue Reading....Wamachinga Wacharuka, Wavamia Ofisi za Jiji Dar
Na Mwandishi Wetu, WAFANYABIASHARA ndogondogo maarufu kama wa machinga leo jijini Dar es Salaam waliandamana hadi katika Ofisi za Jiji la Dar es Salaam zilizopo…
Continue Reading....Sakata la Escrow; Rais Kikwete Amfukuza Uwaziri Prof Tibaijuka
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemfukuza kazia Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa kukiuka sheria ya maadili…
Continue Reading....