Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 362

Category: Habari za Nyumbani

Mke Mume Wauwawa Kikatili, Wachunwa Ngozi Bunda

Posted on: December 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Mke Wakatwa Mapanga, mume, Wilaya ya Bunda
Mke Mume Wauwawa Kikatili, Wachunwa Ngozi Bunda

MBWANA Joseph Maduhu (70) na mkewe Zawadi Maduhu (60) wote waazi wa kutoa Kijiji cha Macharo, Bunda Mkoani Mara, wameuwawa kikatili baada nyumbani kwao baada…

Continue Reading....

Tanzania’s Leading Online Vehicle Market Place, Carmudi, Wishes It’s Esteemed Customers a Safe Drive Christmas

Posted on: December 25, 2014December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Carmudi, Christmas, Vehicle Market Place
Tanzania’s Leading Online Vehicle Market Place, Carmudi, Wishes It’s Esteemed Customers a Safe Drive Christmas

CARMUDI Tanzania, the leading online market place, is wishing its esteemed customs a very Merry Christmas, and reminding them to drive responsibly during the month…

Continue Reading....

Tume Operesheni Tokomeza Kukusanya Maoni Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma

Posted on: December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Maoni Mikoani, Tume Operesheni Tokomeza
Tume Operesheni Tokomeza Kukusanya Maoni Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma

Na Mwandishi Wetu TUME ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa…

Continue Reading....

Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko

Posted on: December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Magonjwa Mlipuko, Mwanza, Wafanyabiashara
Wafanyabiashara Mwanza Kukumbwa Magonjwa ya Mlipuko

Na Kibada Kibada – Mwanza WAFANYABIASHARA ya samaki na bidhaa nyingine za maliasili katika soko la Samaki la Mwalo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemeala Jijini…

Continue Reading....

Kulwa na Dotto Mwaibale Watembelea Kaburi la Mamayao

Posted on: December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Kulwa na Dotto Mwaibale, wanahabari
Kulwa na Dotto Mwaibale Watembelea Kaburi la Mamayao

Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama…

Continue Reading....

Dereva Bodaboda Achomwa Kisu Tumboni

Posted on: December 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Dereva Bodaboda, Kisu Tumboni
Dereva Bodaboda Achomwa Kisu Tumboni

MWENDESHA bodaboda John Choma miaka (29) mkazi wa Majengo mapya Halmashauri ya Mji wa Mpanda mkoani Katavi amenusulika kifo baada ya kuchomwa kisu tumboni na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari